Wilaya ya Kilwa
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Kilwa (kijani) katika mkoa wa Lindi.
Wilaya ya Kilwa iko katika Mkoa wa Lindi, takriban kilometa 220 kusini mwa Dar es salaam. Kilwa imepakana na Mkoa wa Pwani upande wa kaskazini, Bahari ya Hindi upande wa mashariki, wilaya ya Lindi Vijijini upande wa kusini na wilaya ya Liwale upande wa magharibi. Kuna wakazi 171,850.
Makao makuu ya wilaya ni Kilwa Masoko.
Historia[hariri]
Wilaya hii ina sehemu za kihistoria ambazo ni hasa
- Kilwa Kisiwani - ambayo ni mfano bora wa miji ya Waswahili wa kale uliojulikana kimataifa tangu karne ya 13 BK
- Kilwa Kivinje - iliyokuwa makao makuu ya eneo chini ya masultani wa Zanzibar na wakati wa ukoloni
- Songo Mnara - maghofu ya mji wa Waswahili wa kale
Utawala[hariri]
Wilaya hii ina kata zifuatazo (idadi ya wakazi 2002 katika mabano):
- Chumo (16,809),
- Kandawale (5,018),
- Kijumbi (12,576),
- Kikole (4,275),
- Kivinje Singino (13,374),
- Masoko (12,324)
- Kipatimu (23,007),
- Kiranjeranje (7,597),
- Lihimalyao (8,824),
- Likawage (3,426),
- Mandawa (10,839),
- Miguruwe (2,589),
- Mingumbi (10,543),
- Miteja (5,568),
- Mitole (3,559),
- Nanjirinji (5,535),
- Njinjo (5,942),
- Pande (11,645),
- Songosongo (2,577),
- Tingi (5,823),
Viungo vya nje[hariri]
| Kata za Wilaya ya Kilwa - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Chumo • Kandawale • Kikole • Kijumbi • Kipatimu • Kivinje Singino • Kiranjeranje • Lihimalyao • Likawage • Mandawa • Masoko • Miteja • Mingumbi • Mitole • Miguruwe • Nanjirinji • Njinjo • Pande • Songosongo • Tingi (Kilwa) |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kilwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |