Milima ya Altai : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Created by translating the page "Altai Mountains"
(Hakuna tofauti)

Pitio la 09:58, 14 Desemba 2019

Ramani ya safu ya mlima wa Altai

Milima ya Altai ni safu ya mlima katika Asia ya Kati na ya Mashariki. Urusi, China, Mongolia, na Kazakhstan zinakutana katika milima hii, pia ni chanzo cha mito ya Irtysh na Ob.

Safu hiyo imeungwa na Milima ya Sayan kwenye kaskazini mashariki ikiishia upande wa kusini mashariki katika Jangwa la Gobi.

Wakazi wa eneo lake si wengi wakiwa mchanganyiko wa Warusi, Wakazakhi, Waaltai na Wamongolia . Uchumi wa eneo hilo unategemea ufugaji wa ng'ombe, farasi na kondoo, pamoja na kilimo, misitu, na uchimbaji madini .

Milima mirefu zadi hufikia kimo cha mita 4,500.

Vidokezo

Hitilafu ya kutaja: <ref> tag with name "bbc110803" defined in <references> is not used in prior text.
Hitilafu ya kutaja: <ref> tag with name "plos110728" defined in <references> is not used in prior text.
Hitilafu ya kutaja: <ref> tag with name "plosone130306" defined in <references> is not used in prior text.

Hitilafu ya kutaja: <ref> tag with name "bbc0901" defined in <references> is not used in prior text.

Viungo vya nje