Tatizo la kiakili linalotokana na kiwewe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{redirect|PTSD}} {{redirect|Post traumatic|the album|Post Traumatic}} {{pp|small=yes}} {{Use dmy dates|date=December 2017}} {{Use American English|date=Decembe...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:42, 12 Desemba 2018

Kigezo:Pp Kigezo:Use American English Kigezo:Infobox medical condition (new) Tatizo la kiakili linalosababisha mawazo baada ya kiwewe (PTSD)[note 1] ni tatizo la kiakili linaloweza kukua baada ya mtu kuwekwa wazi kwa tukio la kiwewe, kama vile unyanyasaji kijinsia, vita, ajali barabarani, au tishio jingine kwa maisha ya mtu.[1] Dalili zinaweza kuwa mawazo ya wasiwasi, hisia, au ndoto zinazohusiana na matukio hayo, huzuni (dawa) wa huzuni waishara zinazohusiana nakiwewe, jaribio la kuhepa ishara zinazohusiana na kiwewe, mabadiliko ya jinsi mtu hufikiria na huhisi, na kuongezeka kwa kupamba na-au-kutoroka majibu.[1][2] Dalili hizi hukaa kwa zaidi ya mwezi baada ya tukio.[1] Watoto wadogo wana uwezekano wa chini wa kuonyesha huzuni, lakini badala yake wanaweza kuonyesha kumbukumbu zao kupitia kwa mchezo.[1] Mtu aliye na tatizo la kiakili linalosababisha mawazo baada ya kiwewe yupo kwenye hatari ya juu ya kujiia kitanzi kujiumiza kwa makusudi.[3][4]

Watu wengi ambao wamepitia tukio la kiwewe hawatakuwa na tatizo la kiakili linalosababisha mawazo baada ya kiwewe.[3] Watu ambao hupitia kiwewe cha kibinafsi (kwa mfano ubakaji au unyanyasaji wa mtoto) wana uwezekano mkubwa wa kuwa na Tatizo la kiakili linalosababisha mawazo baada ya kiwewe, ikilinganishwa na watu ambao hupitia kiwewe kisicho chaunyanyasaji, kama vile ajali na majanga ya kiasili.[5] Karibu nusu ya watu huwa na Tatizo la kiakili linalosababisha mawazo baada ya kiwewe baada ya ubakaji.[3] Watoto wana uwezekano wa chini wa kuwa na Tatizo la kiakili linalosababisha mawazo baada ya kiwewe baada ya kiwewe, hasa wakiwa na umri wa chini ya miaka 10.[6] Utambuzi unategemea uwepo wa dalili mahususi baada ya tukio la kiwewe.[3]

Kinga inawezekana iwapo tiba inawalenga walio na dalili za mapema lakini si faafu ikitolewa kwa watu wote iwapo dalili zipo au hazipo.[3] Matibabu makuu ya watu walio na Tatizo la kiakili linalosababisha mawazo baada ya kiwewe ni ushauri na dawa.[2] Baadhi ya aina tofauti za tiba zinaweza kusaidia.[7] Hii inaweza kutokeamoja-kwa-moja au kaika kikundi.[2] Dawa za kumaliza huzuni za aina ya Kuchagua kizuizi cha ufyonyaji upya wa serotonini ndizo dawa za kwanza kwa Tatizo la kiakili linalosababisha mawazo baada ya kiwewe na huwa na manufaa kwa karibu nusu ya watu.[8] Manufaa haya ni chini kwa walioonekana na tiba.[3] Si wazi iwapo kutumia dawa na tiba pamoja kuna manufaa makubwa.[3][9] Dawa nyingine hazina ushahidi wa kutosha ili kuunga matumizi yao, na kwa upande wa benzodiazepini, inaweza kuleta matokeo mabaya zaidi.[10][11]

Karibu 3.5% ya watu wazima Marekani wana Tatizo la kiakili linalosababisha mawazo baada ya kiwewe kwa mwaka fulani, na 9% ya watu huwa na tatizo hilo kwa wakati fulani maishani mwao.[1] Katika sehemu kubwa ya dunia, viwango kwa wakati fulani kwa mwaka ni kati ya 0.5% na 1%.[1] Viwango vya juu vinaweza kutokea kwa sehemu za vita vya silaha.[3] Hutokea sana kwa wanawake ikilinganishwa na kwa wanaume.[2] Dalili za matatizo ya kiakili yanayohusiana na kiwewe zimewekwa kwenye kumbukumbu kuanzia angalau enzi za Wayunani.[12] Wakati wa Vita vya Dunia hali hii ilikuwa inajulikana kwa istilahi mbalimbali zikiwemo "usumbufu wa kisaikolojia kwa sababu ya vita (shell shock)" na "usumbufu wa kiakili kwa sababu ya kupigana (combat neurosis)".[13] Istilahi "posttraumatic stress disorder (Tatizo la kiakili linalosababisha mawazo baada ya kiwewe)" ilianza kutumika katika miaka ya sabini katika sehemu kubwa kwa sababu ya utambuzi wa wanajeshi wakongwe wa Marekani wa Vita vya Vietnam.[14] Ilitambuliwa rasmi na Muungano wa Madaktari wa Ugonjwa wa kiakili Marekan mwaka wa 1980 katika toleo la tatu la Mwongozo wa Utambuzi na Takwimu za Matatizo ya Kiakili (DSM-III).[15]


See also

Notes

  1. Vigezo vinavyokubalika vya istilahi hii vipo; tazama kitengo cha "Istilahi katika makala haya.

References

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 1.5 American Psychiatric Association (2013). Diagnostic and Statistical Manual of Mental Disorders (toleo la 5th). Arlington, VA: American Psychiatric Publishing. ku. 271–280. ISBN 978-0-89042-555-8. 
  2. 2.0 2.1 2.2 2.3 "Post-Traumatic Stress Disorder". National Institute of Mental Health. February 2016. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 March 2016. Iliwekwa mnamo 10 March 2016.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. 3.0 3.1 3.2 3.3 3.4 3.5 3.6 3.7 "Post-traumatic stress disorder". Bmj 351: h6161. November 2015. PMC 4663500. PMID 26611143. doi:10.1136/bmj.h6161.  Unknown parameter |vauthors= ignored (help); Check date values in: |date= (help)
  4. "Suicidality and posttraumatic stress disorder (PTSD) in adolescents: a systematic review and meta-analysis". Social Psychiatry and Psychiatric Epidemiology 50 (4): 525–37. April 2015. PMID 25398198. doi:10.1007/s00127-014-0978-x.  Unknown parameter |vauthors= ignored (help); Check date values in: |date= (help)
  5. "Current status on behavioral and biological markers of PTSD: a search for clarity in a conflicting literature". Neuroscience and Biobehavioral Reviews 37 (5): 860–95. June 2013. PMID 23567521. doi:10.1016/j.neubiorev.2013.03.024.  Unknown parameter |vauthors= ignored (help); Check date values in: |date= (help)
  6. National Collaborating Centre for Mental Health (UK) (2005). "Post-Traumatic Stress Disorder: The Management of PTSD in Adults and Children in Primary and Secondary Care". NICE Clinical Guidelines, No. 26. Gaskell (Royal College of Psychiatrists). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-08. MuhtasariPubmed Health (plain English).  Kigezo:Open access
  7. "The efficacy of recommended treatments for veterans with PTSD: A metaregression analysis". Clinical Psychology Review 40: 184–94. August 2015. PMID 26164548. doi:10.1016/j.cpr.2015.06.008.  Unknown parameter |vauthors= ignored (help); Check date values in: |date= (help)
  8. "Pharmacologic alternatives to antidepressants in posttraumatic stress disorder: a systematic review". Progress in Neuro-Psychopharmacology & Biological Psychiatry 33 (2): 169–80. March 2009. PMC 2720612. PMID 19141307. doi:10.1016/j.pnpbp.2008.12.004.  Unknown parameter |vauthors= ignored (help); Check date values in: |date= (help)
  9. "Combined pharmacotherapy and psychological therapies for post traumatic stress disorder (PTSD)". The Cochrane Database of Systematic Reviews (7): CD007316. July 2010. PMID 20614457. doi:10.1002/14651858.CD007316.pub2.  Unknown parameter |vauthors= ignored (help); Check date values in: |date= (help)
  10. "Benzodiazepines for PTSD: A Systematic Review and Meta-Analysis". Journal of Psychiatric Practice 21 (4): 281–303. July 2015. PMID 26164054. doi:10.1097/pra.0000000000000091.  Unknown parameter |vauthors= ignored (help); Check date values in: |date= (help)
  11. "Pharmacotherapy for post-traumatic stress disorder: systematic review and meta-analysis". The British Journal of Psychiatry 206 (2): 93–100. February 2015. PMID 25644881. doi:10.1192/bjp.bp.114.148551. Some drugs have a small positive impact on PTSD symptoms  Unknown parameter |vauthors= ignored (help); Check date values in: |date= (help)
  12. Carlstedt R (2009). Handbook of Integrative Clinical Psychology, Psychiatry, and Behavioral Medicine Perspectives, Practices, and Research. New York: Springer Pub. Co. uk. 353. ISBN 9780826110954. 
  13. Herman J (2015). Trauma and Recovery: The Aftermath of Violence–From Domestic Abuse to Political Terror. Basic Books. uk. 9. ISBN 9780465098736. 
  14. Klykylo WM (2012). Clinical child psychiatry (toleo la 3.). Chichester, West Sussex, UK: John Wiley & Sons. uk. Chapter 15. ISBN 9781119967705. 
  15. "Finalizing PTSD in DSM-5: getting here from there and where to go next". Journal of Traumatic Stress 26 (5): 548–56. October 2013. PMID 24151001. doi:10.1002/jts.21840.  Unknown parameter |vauthors= ignored (help); Check date values in: |date= (help)

External links

Kigezo:Medical condition classification and resources

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Kigezo:Portal-inline

Kigezo:Z148

Kigezo:Trauma Kigezo:Authority control