Östersund
Mandhari
Östersund ni mji nchini Uswidi. Kuna wakazi 43,796 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa Karne ya 18. Ni mji mkuu wa jimbo la Jämtland.
Utamaduni na burudani
[hariri | hariri chanzo]Östersund ina cafes na migahawa kadhaa.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Eneo lake ni 26.84 km². Iko kando ya Ziwa Frösön.
-
Östersund na Ziwa Frösön
-
Barabara kuu katika Östersund
-
Ukumbi wa Östersund
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Östersund kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |