Växjö
Mandhari
Växjö ni mji nchini Uswidi. Mji ulianzishwa 1342. Kuna wakazi 59 268 (mwaka 2005).
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Eneo lake ni 29.29 km².
-
Kanisa la Växjö
-
Maktaba
-
Bombwe
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Växjö kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |