Nenda kwa yaliyomo

The Village Voice

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka VV)
Nembo ya The Village Voice

The Village Voice ni gazeti litolewalo bure kila wiki jijini New York City, Marekani. Gazeti hili hujihusisha na makala za kimahojiano, uchambuzi wa mambo na utamaduni wa kisasa, utahakiki wa sanaa na matukio yanatokea huko mjini New York City. Pia husambazwa nchi nzima ya Marekani lakini kwa kiwango cha malipo maalumu.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The Village Voice kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.