Mtumiaji:Tegalura
TEGALURA Ni neno la Kihaya maana yake ASIYERUDISHA Kwa tamaduni za Wahaya waishio mkoa wa KAGERA imekuwa kawaida na ni kwa utaratibu maalum, kuwapatia majina watoto wanaozaliwa yenye maana ya lugha ya kihaya. Kama ilivyo utaratibu wa kutoa majina mawili ya utambuzi hali kadharika Wahaya utoa majina mawili mawili mfano, Gabriel Tegalura Juventinus Rwehumbiza, Justinian Mbakizaki
Gabriel Tegalura ni mtoto pekee kwenye familia ya Winceslaus Mujuleoki na Bi. Inviolatha Kokushoboka. Winceslaus Mujuleoki ni mtoto wa kwanza kwenye familia ya watoto wanne, (Winceslaus, Gosbert, Praxeda, Santisma) wazazi wao ni Mzee Abel Tegalura na Bi. Asteria Mukabajungi. Mzee Tegalura alikuwa na watoto wawili wa kiume, Anaseth pamoja na Abel. Anaseth alijaliwa watoto wanne, (George, Theobard, Theonestina na ....) Anaseth alimwoa Bi. Josephine. Watoto wao wote wamejaliwa kuoa/kuolewa na kupata watoto... Vilevile watoto wa Mzee Abel na Bi.Asteria wameoa/kuolewa na kupata watoto... Winceslaus Mujuleoki, alimzaa Gabriel Tegalura kupitia kwa Inviolatha Kokushoboka Gosbert, aliwazaa, Happiness, Rodgers na Lightness kupitia Bi. Litha vilevile Gosbert alimzaa Jenifer kwa mama mwingine na kijana mwingine wa kiume kupitia kwa Magreth Praxeda aliwazaa, Frank, Patrick, Lidya, Irene, Edwin na Prince kwa mumewe Bwana Semistocles Rugakingira. Santinsima, (...) Aliwazaa Doris, Denis na Mushobozi