Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Madaha Mwittah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Madaha Mwittah: Amezaliwa Maswa Simiyu, zamani ilikuwa sehemu ya (Shinyanga).

Amewahi kuitwa majina yanayotokana na Sifa mbali mbali, Kama; Shaban Mwita, Magina Luguma na Juma Ernest kwa nyakati tofauti tofauti.

Umri: Amezaliwa 1/1/1988, na mtoto wa 6 kati ya watoto 11 wa Mzee Enoss Luguma Mwittah.

Elimu: 1997 Kakola Shule ya msingi

Istoshe amesoma pia Shule za msingi za Kakola(Maswa) 2003, Nyanzenda(Sengerema) 2004 na Mwabagalu(Maswa) 2005.
Amewahi kusoma Shule za Upili za NG'WANZA(MAEC) SOLA MASWA 2004,GEITA 2005 -GEITA, MIGUKULAMA, SENGEREMA 2005,  hatimaye NYABUBINZA,MASWA alipohitimu kidato cha nne 2010

Wazazi wake ni Leticia Nkwimba Lilida na Mzee Enoss Luguma Mwita. Ujuzi na Uzoefu Maishani: Ukulima, Biashara, Miradi na Ufundishaji.

Anaamini katika Ubunifu, Ujuzi, Utafiti Wa Maarifa, Biashara, Ujasliamali, Bidii, Malengo Na Matumizi Ya Mikakati Sahili ili Kuwa na Matokeo Ya mafanikio.

- Ukitafuta kwa mwelekeo unaofaa utapata kwa wakati, lakini jipe moyo kwani kipindi cha utafutaji hakina alama za kukuongoza umbali uliobakia wa kufikia mafanikio.