Mtumiaji:Kims00748
Mandhari
Lugha | ||
---|---|---|
|
Mimi ninaitwa Kiyavilo Msekwa, ni mkazi wa Arusha ila kwa sasa ninaishi katika jiji la Dar es salaam kwa sababu ya masomo. Ninasoma chuo cha kikatoliki cha mtakatifu joseph nikichukua shahada ya sayansi ya kompyuta na uhandisi. Ni mpenzi wa mabadiliko ya teknolojia na ninapenda sana kutumia muda wangu mwingi kwenye wavuti mbalimbali za teknolojia. Ninafanya mazoezi ya kuprogramu chipu za IC zijulikanazo kama PIC au microcontrollers