Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Kasri Baraka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ni kijana aliye na umri wa miaka 21, amezaliwa tarehe 05/09/2001 wilayani Tarime mkoani Mara. Ni mtumishi wa MUNGU,amelelewa kiroho na mchungaji Joseph Nyandage Marwa ndani ya kanisa la uamsho duniani C.R.C Motemorabu na kubatizwa mnamo tarehe 27/12/2020 siku ya Jumapili. Katika utumishi, yeye ni mwalimu,pia ni mwalimu wa shule ya jumapili na mwenyekiti wa idara hiyo,Tena ni mlezi wa idara ya mashemasi,ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za injili. Huyo ndiye Kasri Baraka@mwana__wa__MUNGU_WA_KWELI.