Mtumiaji:Hopton chilonji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

hopton ni mtanzania pia ni mwanafunzi wa shule ya sekondari alfagems baba yake hopton anaitwa joseph chilonji na mama yake anaitwa prisca nasoro baba yake na mama yake walibahatika kupata watoto wawili mtoto wakwanza anaitwa norlman na wapili anaitwa hopton hopton alimariza shule ya msingi kizuiani iliyopo daresalaam wilaya ya temeke kata ya mbagalakuu mwaka 2017 alimaliza darasa la saba baba yake hoptoni nimfanyakazi katika kampuni ya azam hihi nihistoria kihufupi ya hopton na familia yake