Mtumiaji:Furedwa
Mandhari
Karibu, Jina langu halisi ni Fred Lyimo. Humu najulikana kama Furedwa. Mimi ni Mchumi kwa taaluma, naamini katika kupanga malengo na kupambana kuyatimiza.
Ninafurahia mazingira, napenda miti. Kwa haiba Furedwa ni mkimya, anapenda kuandika na kusoma. Naamini kila siku mpya ni fursa ya kujifunza.
Naamini mafaniko yanahitaji bidii, nidhamu na kazi halali.