Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Edmund mkwata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
lugha
sw Mtumiaji huyu lugha mama yake ni Kiswahili.
KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)


Hello! Nafahamika kama Edmund Basil Mkwata na nina umri wa miaka ishiri na mbili na ninapatikana chuo kikuu cha Dar es salaam. Napendelea mambo mengi lakini ya msingi ni ufahamu ama "knowledge" na mali. nina njaa ya ufahamu na mali na popote pale nitasaka vitu hivi viwili.