Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Baraka Meremo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

PROGRAMU YA USALAMA MTANDAO

Baraka Meremo (aliyezaliwa 26 september 2001) ni kijana Mtanzania, kiongozi, mbunifu na mjasiriamali wa mtandao alieanzisha suluhisho la usalama mtandao kupitia program yake janja ya safetikaapp, inayopatikana kupitia tovuti ya www.safetikaapp.com.

Jina la safetika App lilitokana na neno la kingereza (safety) linalomaanisha usalama .

Katika Usalama mtandao, binadamu ndiye mhanga wa kwanza, ili kuweza kuepukana na tatizo hili, binadamu wanapaswa kuelimishwa mara kwa mara kuhusu usalama mtandao (Cyber Security awareness)n na hili ndio tatizo linalotatuliwa na programu hii janja ya SafetikaApp.

Wazo hili la usalama mtandao, kijana huyu alilipata alipokuwa katika mazinigira yake ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambapo alikuwa akisoma masomo ya uhandisi wa usalama mtandao (Cyber Security & Digital Forensics Engineering)

Program hii ya Safetika App inamuwezeshha kijana ambaye ni mhanga wa Usalama mtandao (Cyber bullying) kupata msaada wa kiusalama mtandao,kwa kumkutanisha kijana huyu mhanga na kijana mwenye utaalamu wa usalama mtandao pia kumkumbusha mhanga huyu wa usalama mtandao juu ya kuimarisha usalama wake mtandaoni.

Mbali na ubunifu alionao kijana huyu, alishawahi kudumu kama Waziri wa Elimu na Uvumbuzi wa serikali ya Wanafunzi (UDOSO) katika Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM), akiongoza uanzishwaji wa program mbali mbali za kibunifu kama vile UDOM time table App, program inayomuwezesha mwanafunzi kupata taarifa za vipindi kupitia simu janja yake bila kuwa na bando.

Kijana huyu ana matarijio makubwa ya kuleta mageuzi makubwa ya kimtandao katika siku za usoni hapa nchini Tanzania, bara la Afrika na Ulimwenguni kote, ni swala la muda tu!