Mtumiaji:Amanzi~swwiki
amanzi alizaliwa dar es salaam mwaka 1990 tarehe 27,alisoma shule ya msingi muhimbili wilaya ya ilala kisha akajiunga na sekondari kirinjiko wilaya ya same mkoa wa moshi,akasoma a-level shule ya kibasila wilaya ya temeke mkoa wa dar es salaam.aliitimu digrii yake chuo cha st,augustine mwanza nchini tanzania. Ni mtoto wa saba kati ya watoto nane wa mzee mpingo ahmed salum ambaye asili yao ni wayao wa mkoa wa ruvuma wilaya ya tunduru nchini tanzania.alishawahi kuwa kiongozi wa darasa akiwa darasa la sita hadi la saba,lakini pia amekuwa kiongozi akiwa shule ya sekondari wilaya ya same huko moshi kama kiongozi wa mazingira lakini pia mara baada kuingia chuo kikuu ya SAUT alikuwa mbunge wa darasa la mawasiliano ya umma. Amewahi kujiunga na vyama vya vijana kama YUNA,PCCCB,na CUF na CCM.