Uduaradufu wa mzunguko
Mandhari
(Elekezwa kutoka Uduaradufu wa njiamzingo)
Katika mwendoanga, uduaradufu wa mzunguko wa kiolwa cha angani ni namba isiyo na kizio ambayo hueleza kiasi mzunguko unavyotofautiana na duara kamili. Uduaradufu wa mzingo kamili ni 0; ule wa duaradufu ni kati ya 0 na 1, ule wa piadufu ni 1, na ule wa piabambo ni zaidi ya 1.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uduaradufu wa mzunguko kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |