Tyla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tyla mnamo 2024

Tyla Laura Seethal (alizaliwa 30 Januari 2002)[1], alimaarufu kama Tyla, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Afrika Kusini. Alizaliwa na kukulia Johannesburg, alisaini na Epic Records mnamo 2021 baada ya mafanikio yake ndani ya wimbo wake wa kwanza wa 2019, "Getting Late" akimshirikisha Kooldrink.[2]

Tyla ndiye msanii mwenye umri mdogo zaidi barani Afrika kushinda Tuzo ya Grammy, na pia amepata uteuzi wa Tuzo za BRIT, Tuzo ya Soul Train Music, Tuzo ya MOBO, na Tuzo mbili za Muziki za Afrika Kusini. Amechukuliwa kuwa "malkia wa poppiano," mchanganyiko wa aina za pop na amapiano.[3][4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tyla kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.