Tuzo za Muziki za Ghoema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sherehe ya mwisho ya muziki wa Ghoema Ni tuzo ya muziki inayotolewa nchini Afrika Kusini ili kutambua mafanikio na michango ya Wanamuziki wa kiafrika ,tuzo hizi ilianza kutolewa mnamo mwaka 2012 na hutolewa na Goeth Trus, sherehe za utoaji wa tuzo hizi hufanyika kila mwaka katika mwezi Machi..[1]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Tuzo za Goema zilianza kutolea rasmi mnamo mnamo 12 Machi 2012 katika wa Johannesburg nchini Afrika ya Kusini.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-20. Iliwekwa mnamo 2022-05-07.