Sigfrid Selemani Ng'itu
Mandhari
(Elekezwa kutoka Sigifrid Seleman Ng'itu)
Sigfrid Selemani Ng'itu (amezaliwa tar. 1 Januari 1954) ni mbunge wa jimbo la Ruangwa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mengi kuhusu Sigfrid Selemani Ng'itu". 17 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |