Rumbek ni mji wa Sudan Kusini, jimbo la Lakes.
Idadi ya watu wake ilikadiriwa kuwa 32,100 mwaka 2010.