Phillemon Mikol Sarungi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Philemon Mikol Sarungi)
Phillemon Mikol Sarungi (amezaliwa tar. 23 Machi 1936) ni mbunge wa jimbo la Rorya katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mengi kuhusu Phillemon Mikol Sarungi". 17 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-27. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |