Omari Sheha Mussa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Omar Sheha Mussa)

Omari Sheha Mussa (amezaliwa tar. 5 Januari 1955) ni mbunge wa jimbo la Chumbuni katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Omari Sheha Mussa". 19 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.