Mwinamo wa mzunguko
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mwinamo wa njiamzingo)
Mwinamo wa mzunguko (kwa Kiingereza: orbital inclination) hupima kiasi mzunguko unavyoinamika. Hutambulishika kama pembe kati ya bapa rejeo na bapa la mzunguko.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mwinamo wa mzunguko kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |