Samir Adam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Samir Adam (amezaliwa 5 disemba 1983) ni mchezaji wa mpira wa kikapu kutokea nchini Msumbiji kwa sasa anachezea timu ya Fundacion Adepal Alcazar inayoshiriki katika ligi ya mpira wa kikapu nchini hispania.[1]Pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya mpira wa kikapu nchini Msumbiji, vilevile arishiriki katika mashindano ya kumsaka bingwa wa afrika mwaka 2009.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-09-29. Iliwekwa mnamo 2022-12-11.
  2. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-08-15. Iliwekwa mnamo 2022-12-11.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samir Adam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.