Mto (maana)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mto(Maana))
Mto ni neno la Kiswahili linaloweza kumaanisha:
- Mto(nomino) - mkondo mkubwa wa maji yanayotiririka hasa kutoka nyanda za juu au milimani na humwaga maji katika maziwa au bahari.
- Mto (nomino) – kifaa kinachotumika kuegemezea kichwa wakati unapolala au katika viti vya kupumzikia.Yaweza kuwa aina ya godoro dogo, sufi au vipande vidogo vidogo vya nguo vilivyokusanywa pamoja.