Moskva (mto)
Mandhari
Chanzo | Vilima vya Smolensk |
Mdomo | Mto Oka (karibu na Kolomna) |
Nchi | Urusi |
Urefu | 509 km |
Mkondo | 7,000 m³/s |
Eneo la beseni | 17,600 km² |
Miji mikubwa kando lake | Moscow |
Mto Moskva (Kirusi: Москва) ni mto wa Urusi unaopita katika mikoa ya Moscow na Smolensk na kwenye mji wa Moscow mwenyewe. Urefu wake ni kilomita 503. Unaishia katika mto Oka kwenye mji wa Kolomna. Kwa jumla ni sehemu ya beseni ya Volga.