Nenda kwa yaliyomo

Mohamed Kharnadji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mohamed Kharnadji alikuwa Dey wa Utawala wa Algiers kwa muda mfupi kuanzia Machi hadi Aprili 1815, na aliuawa baada ya kuwa madarakani kwa siku 17 tu.[1]

Alitanguliwa na
Haji Ali
Dey of the Regency
of Algiers

1815–1815
Akafuatiwa na
Omar Agha

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sir Robert Lambert Playfair, Handbook for travellers in Algeria and Tunis, J. Murray, 1895, p. 52 online version
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Kharnadji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.