Nenda kwa yaliyomo

Mzigo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mizigo)

Mzigo ni kitu chochote ambacho kinafungwa na kubebwa.

Kutokana na maana hiyo asili, neno linaweza kumaanisha jambo ambalo linatatiza au kukwaza, au mtu ambaye hashauriki wala kuambilika, hivyo amekuwa tatizo kwa jamii yake.