Milimita
Mandhari
(Elekezwa kutoka Millimita)
"mm" inaelekezwa hapa. Kwa matumizi mengine, tazama MM.
Milimita (kifupi mm) ni sehemu ya 1000 ya mita moja. Ni sawa na sehemu ya kumi ya sentimita moja.
Millimita (mm): Millimita ni sehemu ya kumi ya sentimita moja; sentimita ina millimita kumi, mita ina millimita elfu moja.
Ndani ya milimita kuna mikromita (µm) 1,000.
mm 1 = cm 0.1 = m 0.001; mm 1 = µm 1,000