Nenda kwa yaliyomo

Mita ya mraba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Meta ya mraba)
Ulinganisho wa mita 1 ya mraba na eneo

Mita ya mraba (m²) ni kipimo cha eneo kinachotumika zaidi kimataifa; eneo lenye upana na urefu wa mita moja

Msingi wake ni kipimo cha urefu cha mita (m).

1 m² ni sawa na:

  • eneo la mraba yenye urefu wa mita moja kila upande
  • 0.000 001 kilomita za mraba (km²)
  • 10,000 sentimita za mraba (cm²)
  • 0.000 1 hektari (ha)
  • 0.000 247 105 381 ekari
  • 10.763 911 futi za mraba
  • 1,550.003 1 inchi za mraba

Vilevile ni

  • 1 m² = 1,000,000 mm² (millimita ya mraba)
  • 1 m² = 10,000 cm² (sentimita ya mraba)
  • 1 m² = 100 dm² (desimita ya mraba)
  • 100 m² = 1 a (Ar)
  • 10,000 m² = 1 ha (hektari)
  • 1,000,000 m² = 1 km² (kilomita ya mraba)