Nenda kwa yaliyomo

Marv Hanson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mary hassan)

Marvin B. "Marv" Hanson (12 Disemba 1943 - 29 Februari 2004) alikuwa mkulima na mwanasiasa. Kuanzia Hallock, Minnesota, Hanson alipokea Shahada yake ya kwanza katika chuo kikuu cha Minnesota na shahada yake ya sheria katika chuo cha Columbia.

Aliweza kutumikia katika vikosi vya amani vya Marekani. Hanson alitumikia kwenye seneti ya nchi ya Minesota kama mwanademokrasia kuanzia mwaka 1977 hadi mwaka 1982. Hanson aliweza kushiriki Kanisa la Warutheri la Red River karibia Hallock. Alifariki kutokana na mshutuko wa moyo nyumbani kwake kule Kennedy, Minnesota [1]

  1. Roberts, Thomas S. (1919). Water birds of Minnesota : past and present. Minneapolis, Minn: [s.n.]
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marv Hanson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.