Majadiliano:Kibera (Nairobi)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Majadiliano:Kibera)
The article on Kibera is an ongoing project by SHOFCO, an organization in Kibera and Five Minutes to Midnight (www.fiveminutestomidnight.org) -- we would love to hear any suggestions or ideas about how to improve this text. Please send an e-mail to me (Wojciech) at wojciech@gmail.com
- Voytekg , salamu pamoja na wenzako! Karibuni kwenye wikipedia ya Kiswahili. Salamu kwa wote huko Kibera! Nimefurahi sana kuona makala yenu. Naona ni hatua muhimu ya kwamba wenyeji wenyewe wameanza kushiriki katika mtandao na pia kwetu wikipedia.
- Nikishukuru na kuwasifuni naleta ombi pia. Makala inahitaja ukarabati kidogo ili ipate kulingana zaidi na mashariti ya kamusi elezo jinsi tulivyo. Naona mwanzoni mwa makala ni muhimu kwanza kueleza: Kibera ni kitu gani? Labda muangalie makala ya Eastleigh (Nairobi) kama mfano wa habari za kifupi au pia makala ya wikipedia ya Kiingereza kuhsu Kibera. Ingefaa kuingiza habari kadhaa jinsi zinavyoonekana katika makala hiyo chini ya "history" na pia "Geography and culture".
- Kingine ambacho ni muhimu ni kuweka viungo. Bila viungo makala haitapatikana kirahisi. Labda angalia mfano wa Esatleigh katika hali ya "kuhariri". Mabano ya mraba ni viungo. Tutasaidia. Mnaonaje? --Kipala 20:07, 26 Juni 2007 (UTC)