Majadiliano:Kata (chombo)

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Majadiliano:Kata)

Je "Kata" kwa maana hiyo ni neno la Kiswahili ?? --Kipala 13:31, 28 Aprili 2007 (UTC)[jibu]

Ndivyo ilivyo. Ukiangalia kamusi ya TUKI utapata maana tano za kata, moja ikiwa kwa Kiingereza ni "laddle, dipper, scoop". --Oliver Stegen 07:40, 30 Aprili 2007 (UTC)[jibu]
Kama ni hivi tuna kata mbalimbali: chombo hiki, kitengo cha kiutawala chini ya tarafa na pia nyingine nikiangalia kamusi. --Kipala 00:13, 1 May 2007 (UTC)