Cornelis Langenhoven : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 9 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1375885 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:CJ Langenhoven.jpg|thumb|225px|right|C.J. Langenhoven na mkewe wakiwa kanisani mjini [[Oudtshoorn]] kwenye harusi ya mtoto wao Engela, 1926]]
'''Cornelis Jacobus Langenhoven''' ([[13 Agosti]] [[1873]] - [[15 Julai]] [[1932]]) alikuwa mwandishi wa [[Afrika Kusini]], hasa upande wa mashairi na insha. Yeye huonekana kama mwandishi mkuu wa fasihi ya [[Kiafrikaans]] mwanzoni mwa karne ya 20. Anajulikana kwa kutunga maneno ya wimbo wa taifa wa kwanza wa Afrika Kusini, ''Die Stem'' ("Mwito").

Toleo la sasa la 07:39, 22 Mei 2013

C.J. Langenhoven na mkewe wakiwa kanisani mjini Oudtshoorn kwenye harusi ya mtoto wao Engela, 1926

Cornelis Jacobus Langenhoven (13 Agosti 1873 - 15 Julai 1932) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini, hasa upande wa mashairi na insha. Yeye huonekana kama mwandishi mkuu wa fasihi ya Kiafrikaans mwanzoni mwa karne ya 20. Anajulikana kwa kutunga maneno ya wimbo wa taifa wa kwanza wa Afrika Kusini, Die Stem ("Mwito").

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cornelis Langenhoven kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.