Paul Simon : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d robot Adding: simple
Mstari 14: Mstari 14:
[[nl:Paul Simon]]
[[nl:Paul Simon]]
[[pl:Paul Simon]]
[[pl:Paul Simon]]
[[simple:Paul Simon]]
[[sv:Paul Simon]]
[[sv:Paul Simon]]

Pitio la 13:24, 25 Desemba 2005

Paul Simon ni mwanamuziki wa country, anaimba na kupiga gitaa amewahi kushirikiana na wanamuziki wengi moja ya makundi hayo ni Ladysmith Black Mambazo. Nyimbo alizowahi kuimba ni; Homeless; Mother and child reunion na Diamond in the sole of her shoes.

Paul Simon alizaliwa Oktoba 13 1941 katika mji wa Newark Height, New jersey huko alifahamika kama muimbaji na mtunzi mwenye asili ya kiyahudi aliwahi kufunga ndoa mara tatu ana watoto wanne mmoja wapo ni mpigaji gitaa kama baba yake.