Haki za binadamu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: bg:Човешки права
d roboti Nyongeza: fiu-vro:Inemiseõigusõq; cosmetic changes
Mstari 12: Mstari 12:
Haki za binadamu za kimsingi ni pamoja na
Haki za binadamu za kimsingi ni pamoja na


*Haki ya kuishi
* Haki ya kuishi
*Haki ya kuchagua kazi - kutokuwa mtumwa
* Haki ya kuchagua kazi - kutokuwa mtumwa
*Kuwa na mali
* Kuwa na mali
*Uhuru wa kutamka maoni
* Uhuru wa kutamka maoni
*Usalama, kutotishwa
* Usalama, kutotishwa
*Kinga dhidi ya hatua za kisheria, nafasi ya kupinga kwa njia halali
* Kinga dhidi ya hatua za kisheria, nafasi ya kupinga kwa njia halali
*Kutokamatwa kwa kosa la mtu mwingine
* Kutokamatwa kwa kosa la mtu mwingine
*Kupewa nafasi ya kujitete mbele ya [[mahakama]] ya kisheria
* Kupewa nafasi ya kujitete mbele ya [[mahakama]] ya kisheria
*Kutazamiwa kuwa bila hatia hadi mahakama imetoa hukumu
* Kutazamiwa kuwa bila hatia hadi mahakama imetoa hukumu
*Kuwa na uraia wa nchi fulani
* Kuwa na uraia wa nchi fulani
*Haki ya kupiga kura katika uchaguzi huru
* Haki ya kupiga kura katika uchaguzi huru
*Kupewa kimbilio kama nchi asilia inazuia uhuru za kimsingi
* Kupewa kimbilio kama nchi asilia inazuia uhuru za kimsingi
*Kuchagua dini na kuishi kufuatana na dini
* Kuchagua dini na kuishi kufuatana na dini
*Nafasi ya kupinga pamoja na wengine maazimio ya serikali kwa njia ya amani
* Nafasi ya kupinga pamoja na wengine maazimio ya serikali kwa njia ya amani
*Elimu
* Elimu
*Haki ya kufunga ndoa na mtu mzima yeyote
* Haki ya kufunga ndoa na mtu mzima yeyote


Kwa mengine angalia makala juu ya tangazo kilimwengu la haki za binadamu.
Kwa mengine angalia makala juu ya tangazo kilimwengu la haki za binadamu.
Mstari 68: Mstari 68:
[[fa:حقوق بشر]]
[[fa:حقوق بشر]]
[[fi:Ihmisoikeudet]]
[[fi:Ihmisoikeudet]]
[[fiu-vro:Inemiseõigusõq]]
[[fr:Droits de l'homme]]
[[fr:Droits de l'homme]]
[[gl:Dereitos humanos]]
[[gl:Dereitos humanos]]

Pitio la 22:14, 10 Januari 2010

Kwa orodha za haki za binadamu angalia makala Tangazo kilimwengu la haki za binadamu

Haki za binadamu ni wazo la kuwa kila mtu anastahili haki fulani zisizotegemea wala cheo wala taifa wala tabaka wala jinsia kwa sababu yeye amezaliwa kama mwanadamu.

Haki hizi zimeorodheshwa katika Tangazo kilimwengu la haki za binadamu lililotolewa na Umoja wa Mataifa mwaka 1948. Tamko la UM lilikuwa kamilisho la majadiliano kuhusu haki hizi yaliyoendelea kwa karne kadhaa.

Hoja la kimsingi ni "Watu wote wamezaliwa huru, hadhi na haki zao ni sawa. Wote wamejaliwa akili na dhamiri, hivyo yapasa watendeane kindugu". (Kifungu 1 cha tangazo la 1948).

Mizizi ya haki hizi inapatikana katika falsafa na dini mbalimbali ya kale lakini ilikuwa wakati wa zama za mwangaza tangu karne ya 18 ya kwamba haki hizi zilijadiliwa kwa undani pamoja na swali ni matokeo gani kuwepo kwa haki hizi yanaleta kwa utaratibu wa siasa, serikali na jamii.

Mfano wa haki za kimsingi

Haki za binadamu za kimsingi ni pamoja na

  • Haki ya kuishi
  • Haki ya kuchagua kazi - kutokuwa mtumwa
  • Kuwa na mali
  • Uhuru wa kutamka maoni
  • Usalama, kutotishwa
  • Kinga dhidi ya hatua za kisheria, nafasi ya kupinga kwa njia halali
  • Kutokamatwa kwa kosa la mtu mwingine
  • Kupewa nafasi ya kujitete mbele ya mahakama ya kisheria
  • Kutazamiwa kuwa bila hatia hadi mahakama imetoa hukumu
  • Kuwa na uraia wa nchi fulani
  • Haki ya kupiga kura katika uchaguzi huru
  • Kupewa kimbilio kama nchi asilia inazuia uhuru za kimsingi
  • Kuchagua dini na kuishi kufuatana na dini
  • Nafasi ya kupinga pamoja na wengine maazimio ya serikali kwa njia ya amani
  • Elimu
  • Haki ya kufunga ndoa na mtu mzima yeyote

Kwa mengine angalia makala juu ya tangazo kilimwengu la haki za binadamu.

Viungo vya Nje

Shirika zinazopigania haki za binadamu