Granada : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
OKBot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: ie:Granada |
d roboti Nyongeza: vi:Granada |
||
Mstari 63: | Mstari 63: | ||
[[tr:Granada (şehir)]] |
[[tr:Granada (şehir)]] |
||
[[ur:غرناطہ]] |
[[ur:غرناطہ]] |
||
[[vi:Granada]] |
|||
[[zh:格拉纳达]] |
[[zh:格拉纳达]] |
Pitio la 21:48, 12 Mei 2008
Granada ni mji katika kusini ya Hispania kwenye jimbo la Andalusia. Kuna wakazi 233,000. Uko mguuni wa milima ya Sierra Nevada katika bonde la mito Genil na Darro inayokutana mjini.
Mji una majengo mashuhuri sana kama vile Alhambra na makanisa yake. Kati ya 711 hadi 1492 ilitawaliwa na Waarabu. Athira ya Kiarabu huonekana katika majengo ya kihistoria hadi leo hii.