Wu Cheng'en : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Removing Wu_Cheng'en.jpg, it has been deleted from Commons by Jcb because: Missing source as of 14 January 2017 - Using VisualFileChange..
#WPWP #WPWPARK
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Evl53201b_pic.jpg|thumb|Kurasa mojawapo ya riwaya ya Safari kwenda Magharibi]]

'''Wu Cheng'en''' (mnamo [[1500]]–[[1582]]) aliyeitwa pia '''Ruzhong''' alikuwa mwandishi wa [[China|Kichina]] na mshairi wakati wa [[nasaba ya Ming]]. Alizaliwa [[Huaian]] kwenye jimbo la [[Jiangsu]]. Alipata elimu kwenye chuo kikuu cha [[Nanjing]] kwa muda wa miaka 10.
'''Wu Cheng'en''' (mnamo [[1500]]–[[1582]]) aliyeitwa pia '''Ruzhong''' alikuwa mwandishi wa [[China|Kichina]] na mshairi wakati wa [[nasaba ya Ming]]. Alizaliwa [[Huaian]] kwenye jimbo la [[Jiangsu]]. Alipata elimu kwenye chuo kikuu cha [[Nanjing]] kwa muda wa miaka 10.



Toleo la sasa la 07:49, 9 Julai 2021

Kurasa mojawapo ya riwaya ya Safari kwenda Magharibi

Wu Cheng'en (mnamo 15001582) aliyeitwa pia Ruzhong alikuwa mwandishi wa Kichina na mshairi wakati wa nasaba ya Ming. Alizaliwa Huaian kwenye jimbo la Jiangsu. Alipata elimu kwenye chuo kikuu cha Nanjing kwa muda wa miaka 10.

Riwaya yake mashuhuri zaidi ni Safari kwenda Magharibi inayosimulia habari za mmonaki anayesafiri kwenye milima ya jimbo la Xinjiang kuelekea Uhindi. Riwaya hii imependwa katika China tangu karne kadhaa ni kitabu kinachojulikana kote nchini.

Riwaya imetafsiriwa kwa lugha mablimbali na filamu kadhaa zinasimulia habari zake.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wu Cheng'en kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.