Nenda kwa yaliyomo

Luis Álvarez (mrushamishale)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Luis Álvarez (archer))
Álvarez mnamo mwaka 2012
Álvarez mnamo mwaka 2012

Luis Antonio Álvarez Murillo (pia anajulikana kama El Abuelo, yaani Babu; amezaliwa Mexicali, Baja California, 13 Aprili 1991) ni mwanariadha wa Mexico ambaye hushiriki katika kurusha mishale.

Álvarez alichaguliwa kama mshiriki wa timu ya wanaume ya Mexico ya wapiga mishale kushindana katika Olimpiki ya Majira ya joto ya 2012 huko London, baada ya kushinda Kombe la Dunia la 2012 la wapiga mishale huko Ogden, Marekani.Hili ilikuwa michezo ya kwanza ya Olimpiki kwa mpiga mishale wa Mexico[1].Katika Olimpiki ya 2012, katika hafla ya mtu binafsi ya wanaume, aliorodheshwa wa 30 baada ya upimwaji viwango.

  1. "Olympics | Olympic Games, Medals, Results & Latest News". Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-11-24.