Nenda kwa yaliyomo

Linköping

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanda wa Linköping

Linköping ni mji kubwa nchini Uswidi. Ni mji mkubwa wa tano katika nchi wa Uswidi. Kuna wakazi 97,428 (mwaka 2005). Kuna pia Chuo Kikuu cha Linköping. Iko kando ya Ziwa Roxen na Mfereji wa Göta .

Jiografia

[hariri | hariri chanzo]

Eneo lake ni 42.01 km². Umbali na Jiji la Stockholm ni 70 km.

Mji uliundwa mwaka 1287.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Linköping kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.