Nenda kwa yaliyomo

Côte-d'Or

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka La Côte-d'Or)
Idara ya Côte-d'Or, Dijon
Mahali pa Côte-d'Or katika Ufaransa
Shamba la mizabibu karibu Beaune, Côte-d'Or

Côte-d'Or ni département (Kifaransa) au department (Kiingereza) la Bourgogne ya Ufaransa. Mji mkuu wake ni Dijon.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Côte-d'Or kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.