Kiwa cha Vo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiwa ya Vo)

Kiwa-Vo ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uchina na Myanmar inayozungumzwa na Wawa. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiwa-Vo nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 40,000. Pia kuna wasemaji 700 nchini Myanmar (2012). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwa-Vo iko katika kundi la Kipalaungiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwa cha Vo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.