Kitahiti
Mandhari
Kitahiti ni lugha ya Kiaustronesia inayozungumzwa na Watahiti nchini Polinesia ya Kifaransa amapo ni lugha ya taifa. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kitahiti imehesabiwa kuwa watu 63,000 nchini Polinesia ya Kifaransa na wasemaji 5260 katika nchi nyingine. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitahiti iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kitahiti kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitahiti
- lugha ya Kitahiti katika Glottolog
- lugha ya Kitahiti kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitahiti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |