Kisoga (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kisoga)

Kisoga ni lugha ya Kibantu nchini Uganda inayozungumzwa na Wasoga. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kisoga imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni mbili. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisoga iko katika kundi la J10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisoga (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.