Kisimaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kisimaa (lugha))

Kisimaa ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Wasimaa. Mwaka wa 1986 idadi ya wasemaji wa Kisimaa imehesabiwa kuwa watu 162,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisimaa iko katika kundi la K40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisimaa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.