Kipela
Mandhari
Kipela ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wajingpo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipela imehesabiwa kuwa watu 400. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipela iko katika kundi la Kiburmiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kipela kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kipela
- lugha ya Kipela katika Glottolog
- lugha ya Kipela kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipela kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |