Kinikobari cha Kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kinicobari ya Kati)

Kinicobar ya Kati ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Wanicobar katika visiwa vya Katchal, Nancowry na Trinket. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kinicobar ya Kati imehesabiwa kuwa watu 10,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinicobar ya Kati iko katika kundi la Kimon-Khmer.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinikobari cha Kati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.