Kinikobari cha Car

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kinicobari ya Car)

Kinicobar ya Car ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Wanicobar katika kisiwa cha Car. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kinicobar ya Car imehesabiwa kuwa watu 37,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinicobar ya Car iko katika kundi la Kimon-Khmer.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinikobari cha Car kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.