Kinaga cha Makuri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kinaga ya Makuri)

Kinaga ya Makuri ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Myanmar inayozungumzwa na Wanaga. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kinaga ya Makuri nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 4000. Pia kuna wasemaji 2500 nchini Myanmar (2004). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinaga ya Makuri iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinaga cha Makuri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.