Nenda kwa yaliyomo

Kimuzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimuzi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kimuzi imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimuzi iko katika kundi la Kingwi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimuzi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.